Picbear logo Browse Instagram content with Picbear

@udakutz_

Udakutz.

udakutz_

Kwa Habari Za Umbea/Udaku Download App Yetu ➑Bonya Link hii πŸ‘‡

 • 9K Total Likes
 • 303 Tot. Comments
Wimbo wa HOMA kutoka kwake @luludivatz Wageuka gumzo.... Mrembo aliyeumizwa katika mahusiano aliyopitia amwaga machozi.... ( Mapenzi yanauma Sana ukichemka kupenda usipo pendwa... Mwisho ni maumivu) Video inasikitisha sana Tazama hapa kisha drop comment yako. . Wimbo upo YouTube huu #homa @luludivatz 😒😒😒
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai na Upelelezi (DCI) wamepewa wito wa kufika mahakamani leo ili kujibu kesi ya jinai dhidi ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Abdul Nondo. TOA MAONI YAKO HAPA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa, Madiwani wa chama hicho wanaohama ni kwa sababu walitarajia kupata maslahi binafsi ambayo wameyakosa. TOA MAONI YAKO HAPA
@moseshome_store ni wauzaji wa furniture bomba na electronic za kisasa kabisa @moseshome_store kwa mahitaji ya. Meza za ofisini Makabati ya nguo Makabati ya vyombo Carpet za manyoya Dining table Fridge aina zote Freezer zote TV flat screen zote Show case za TV @moseshome_store pia wanatoa delivery mikoani kote wanakuletea popote ulipo @moseshome_store wanapatikana k/koo opposite na china plaza kwa mawasiliano call 0717374715 /0759862033 Kuona bidhaa zao follow @moseshome_store @moseshome_store @moseshome_store @moseshome_store
Msanii @mrdmusic kutoka Rwanda yupo mbioni kuachia video yake mpya subscribe Link kwa Bio yake @mrdmusic Follow @kevoohard @kevoohard @kevoohard @kevoohard kwa updateds zote za muziki. #supportedbykevoohard
Comment Hapa wimbo wowote unaoupenda Sana kutoka kwa @bahati_bukukuu
OFFICIALLY : Picha Ya @zarithebosslady Akijaribu Shela la Harusi Imevuja... Taarifa kutoka chanzo cha Ndani Ya Familia kinasema Kuwa Huyu ndiye Mke Mtarajiwa wa @diamondplatnumz ...Kila Kitu Tayari Kimekaa Sawa.
PICHA MPYAA kutoka kwa msanii wa kike aliyepotea na Kuwa Kimya Kwa Muda mrefu katika industry Ya Bongoflava... Muite @malaika6tz ....Soon anaachia kazi mpyaa. Stay tuned πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Kwa mahitaji ya accessories nzuri za kuvutia na zenye ubora kama saa,pete,cheni,hereni na vingine vingi.....basi usipate tabu mcheck @deo_accessoriess Kwa namba +255717225944 +255717225944 +255717225944 Pia anafanya delivery ndani ya Dar na kutuma mikoani pia.... Kutazama accessories zote alizonazo basi mfollow katika account yake @deo_accessoriess @deo_accessoriess @deo_accessoriess
PICHA MPYAA kutoka kwa msanii wa kike aliyepotea na Kuwa Kimya Kwa Muda mrefu katika industry Ya Bongoflava... Muite @malaika6tz ....Soon anaachia kazi mpyaa. Stay tuned πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
ARUSHA: Diwani wa CHADEMA Kata ya Kaloleni, Emmanuel Kessy amejivua uanachama na kujiuzulu nafasi yake ya Udiwani na kisha kujiunga CCM - Kessy amesema moja ya sababu zilizomfanya ahame ni kumuunga mkono Rais Magufuli aliyedai kuwa anapambana vyema na rushwa, ufisadi na kuwaletea maendeleo wananchi - Sababu nyingine ni kupunguza msuguano uliopo baina yake na viongozi wa CHADEMA na kwamba akiwa ndani ya CCM kutamrahisishia utendaji wake wa kazi - Kuhama kwa Diwani huyo kunafanya idadi ya madiwani wa Chama kikuu cha upinzani nchini wanaohamia CCM kufika takribani 46. TOA MAONI YAKO HAPA
Papa Francis ameutaja unyanyasaji wa wanawake kwa ajili ya ukahaba kuwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu - Papa aliiomba msamaha jamii kwa niaba ya wanaume waumini wa kanisa Katoliki wanaokwenda kupata huduma kwa makahaba - Papa Francis alitoa kauli yake hiyo ya dhati kabisa katika kikao cha maswali na majibu na vijana kutoka mataifa mbalimbali ya dunia waliokwenda mjini Roma - Papa alisema, "Ni uhalifu dhidi ya ubinadamu. Na unatokana na fikra mbovu kwamba wanawake lazima wadhalilishwe" - Papa Francis alisema nchini Italia kuna uwezekano asilimia takriban 90 ya wateja wanaume wanaokwenda kwa makahaba ni waumini wa kanisa Katoliki waliobatizwa
Ebitoke na @iambenpol
Mrembo @ladivamillen katika Picha Ya pamoja na mwanae kipenzi Prince Kairo πŸ’—πŸ’—
Kwa mahitaji ya Furniture aina zote... Kama masofa ya kisasa..Makabati Mazuri. Marble Dinning.... Vitanda Vizuri vyenye wadhifa... Dressing Table ...Office Furniture na Vingine Kibao. Wacheck @kings_furnishers @kings_furnishers Au wasiliana nao 0788- 999222 0773-999222 . Wapo Nyerere Road Karibu na Quality Centre. Wateja wote mtapata huduma... Ndani ya Dar, mikoani na Nje ya Tanzania. . Zaidi Pitia Page yao kutazama Furniture na Mapambo yaliyopoa. Bei zao ni Poaa Sana. . Follow @kings_furnishers @kings_furnishers @kings_furnishers @kings_furnishers

PICHA : malkia Wa Nguvu @rossendauka na Mwanae πŸ’—πŸ’—
mrembo @official_tunda aendelea Kuponda Starehe na Kula raha za dunia Huko Nairobi Kenya... Tazama Hapa Video kisha drop comment yako
πŸ˜‚πŸ˜‚weka comment yako Hapa
**AMEN

Loading